مشروع البحث:
KUCHUNGUZA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO ZA WAHITIMU WA KILIBYA WA SHAHADA ZA JUU ZA KISWAHILI

dc.contributor.advisorProf, Daktari, Tigiti Shaaban Yusuf Sengo
dc.contributor.advisorProf. Emmanuel Mbogo
dc.date.accessioned2025-08-12T07:58:14Z
dc.date.available2025-08-12T07:58:14Z
dc.descriptionVilevile, Kiswahili kikawa ndiyo lugha ya mawasiliano katika shughuli zote za utawala serikalini ambapo mikutano, mijadala na huduma kwa wateja vilifanywa kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Shughuli za mahakama nazo zilifanywa kwa kutumia lugha ya Kiswahili sambamba na Kiingereza hasa katika mahakama kuu. Hatua ya kukitangaza Kiswahili kuwa lugha ya taifa si tu kwamba lilikuza matumizi ya lugha ya Kiswahili bali pia lilisaidia sana katika kuwaunganisha Watanganyika na kuwafanya kuwa kitu kimoja (Mekacha, 2000).
dc.description.abstractKiswahili imekuwa na inaendelea kuwa lugha muhimu sana katika maendeleo ya bara la Afrika na duniani kwa jumla (Mulokozi, 2002). Umuhimu huo unaonekana pale ambapo lugha ya Kiswahili imekuwa ni chombo cha kuwaunganisha watu wa jamii na utamaduni tofauti kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Pia Kiswahili kimekuwa ni lugha ya biashara na mawasiliano ya kimataifa (Ghanem, 2005; Dzahane, 2013).
dc.identifier648
dc.identifier.urihttps://dspace.academy.edu.ly/handle/123456789/1705
dc.subjectSHAHADA ZA JUU ZA KISWAHILI
dc.titleKUCHUNGUZA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO ZA WAHITIMU WA KILIBYA WA SHAHADA ZA JUU ZA KISWAHILI
dspace.entity.typeProject
project.endDate2024
project.funder.nameاللغات
project.investigatorHUSIN HAMED HUSIN AWHIDA
project.startDate2023
الملفات
الحزمة الأصلية
يظهر اﻵن 1 - 1 من 1
لا توجد صورة مصغرة متاحة
اﻻسم:
HUSIN HAMED HUSIN AWHIDA.pdf
الحجم:
796.98 KB
التنسيق:
Adobe Portable Document Format
حزمة الترخيص
يظهر اﻵن 1 - 1 من 1
لا توجد صورة مصغرة متاحة
اﻻسم:
license.txt
الحجم:
1.71 KB
التنسيق:
Item-specific license agreed to upon submission
الوصف: