مشروع البحث: KUCHUNGUZA MAFANIKIO NA CHANGAMOTO ZA WAHITIMU WA KILIBYA WA SHAHADA ZA JUU ZA KISWAHILI
تحميل...
المساهمين
الممولين
رقم التعريف
648
الباحث
HUSIN HAMED HUSIN AWHIDA
الوصف
Vilevile, Kiswahili kikawa ndiyo lugha ya mawasiliano katika shughuli zote za utawala serikalini ambapo mikutano, mijadala na huduma kwa wateja vilifanywa kwa kutumia lugha ya Kiswahili. Shughuli za mahakama nazo zilifanywa kwa kutumia lugha ya Kiswahili sambamba na Kiingereza hasa katika mahakama kuu. Hatua ya kukitangaza Kiswahili kuwa lugha ya taifa si tu kwamba lilikuza matumizi ya lugha ya Kiswahili bali pia lilisaidia sana katika kuwaunganisha Watanganyika na kuwafanya kuwa kitu kimoja (Mekacha, 2000).
الكلمات الدالة
SHAHADA ZA JUU ZA KISWAHILI
